The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, (CAP 436)

  • Home
  • News
  • The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, (CAP 436)

THE NON-CITIZENS (EMPLOYMENT REGULATION) ACT, (CAP. 436):

  • Kifungu cha 9 kinapendekezwa kurekebishwa ili kuweka masharti ya kumtaka raia wa kigeni mwenye kibali cha kazi daraja A anayekusudia kujihusisha na kampuni nyingine anayomiliki hisa kupata idhini ya
    Kamishna wa Kazi.
  • Kifungu cha 10 kinapendekezwa kurekebishwa kwa kuweka masharti ya kuzuia urejeshwaji wa ada ya maombi ya kibali cha kazi.
  • Kifungu cha 12
    kinapendekezwa kurekebishwa ili kuwawezesha wakimbizi wenye hadhi stahiki kuendelea kufanya kazi bila kubanwa na sharti la ukomo wa muda wa kibali cha kazi. Pia, 👉kifungu hiki kinarekebishwa ili maombi ya kuhuisha kibali cha kazi kuwasilishwa kwa Kamishna wa Kazi angalau
    miezi miwili kabla ya kuisha kwa muda wa kibali.

Leave A Comment

Tanzania’s premier law firm, delivering exceptional legal advice globally. With a commitment to excellence and personalized service, we are your trusted partner for success.

Subscribe to our newsletter

Sign up to receive latest news, updates, promotions, and special offers delivered directly to your inbox.
No, thanks